ABSTRACT

MHUDUMU: Hamjambo? LEO AND SUBIRA: Hatujambo. MHUDUMU: Karibuni! LEO AND SUBIRA: Asante! MHUDUMU: Mnataka chakula gani? SUBIRA: Sijaiona orodha ya vyakula. Kuna chakula gani? MHUDUMU: Kuna wali na maharagwe, wali na kuku, wali na

nyama, chipsi na kuku, chipsi na mayai, ugali na nyama.