ABSTRACT

Rosa (Mamantilie) and Hawa are talking about a wedding celebration

1 Why was Rosa asked to attend the wedding? 2 Why was Hawa invited to the wedding? 3 Where will the wedding take place?

BI. ROSA: Wikiendi hii nitakwenda kwenye sherehe ya arusi. Niliombwa na wazee wa biarusi kuwasaidia matayarisho ya chakula. Kwa kweli ndiye baba yake biarusi aliyeniomba kuhudhuria kwenye sherehe hiyo ya arusi.

BI. HAWA: Mimi pia nitahudhuria kwenye sherehe ya arusi wikiendi hii. Nilialikwa pamoja na kikundi changu cha wanamuziki, kuimba nyimbo kwenye sherehe hiyo. Ndiye biarusi mwenyewe aliyenialika.