ABSTRACT

Somewhat different in focus to other chapters in the book, here we primarily dwell on the Black African diaspora in the Republic of Ireland. In this context, the chapter draws attention to the views of social work educators and our main interest is their perceptions in relation to four thematic concerns: social work education and theoretical perspectives; praxis; organisational structures within the capitalist racial state; neoliberalism. These interviews cannot, of course, be regarded as ‘representative’ of the ‘field’ of social work education in Ireland. Nonetheless, what the remarks of the respondents illustrate are certain interesting tendencies that signal causes for concern, and they also hint at directions for possible future studies. We reflect on such issues and also highlight other recent developments, including the 2021 launch of the Irish Association of Social Workers (IASW) ‘Anti-Racism Strategy’.

Tofauti kidogo na sura nyingine kwenye kitabu hiki, hapa tunaangalia kwa undani waafrika walioopo ughaibuni hapa Ayalendi. Kufuatilia hawa sura hii inatilia mkazo maoni ya wakufunzi wa elimu ya ustawi wa jamii na tunafuatilia mitazamo yao katika maeneo manne muhimu: elimu ya ustawi wa jamii: mtaala wake, na jinsi mipangilio na taratibu zilivyo ndani ya dola ya kibepari na ubaguzi wa rangi; na mfumo wa uhuria. Mahojiano tuliyofanya hayawezi kuchukuliwa kama uwalishi wa sekta nzima ya ustawi wa jamii Ayalendi.Pamoja na hivyo majibu ya waliojibu maswali yanaonyesha mwenendo fulani unaoashiria mambo muhimu yakuzingatiwa, na pia yanatoa mwelekeo kwa tafiti nyingine za baadaye. Tunatafakari juu ya haya mambo na pia kuangalia maendeleo mengine ya karibuni, pamoja na kuanzishwa kwa mkakati wa kupingga ubaguzi wa rangi wa Umoja wa Wafanyakazi wa Ustawi wa Jamii wa Ayalendi.1