ABSTRACT

TATU: Ukiukoroga wali wakati unapochemka utagandana. HADJI: Nabisha! Usipoukoroga wali utakuwa kama mchanga. TATU: Sivyo! Nabisha! Ukimwona mama anapika wali utaona

kwamba yeye haukorogi wali. Mama atauacha uchemke polepole hadi maji yametoweka.