ABSTRACT
Hapo zamani Sungura alipokuwa akitembeatembea kujisifu, akamkuta Kobe ambaye alikuwa akila majani. Baada ya kuamkiana, Sungura akatoa changamoto washindane kwenye shin-
goza Sungura kilimani. Kobe alipochukua muda mrefu kufika kwenye kilele cha kilima Sungura akajisemea, ‘Bila shaka Kobe atashindwa. Kobe huyu hawezi kutembea vizuri.’