ABSTRACT

IBRAHIM: Je, umeolewa? MARIAMU: Ndiyo, nimeolewa. IBRAHIM: Je, mna watoto? MARIAMU: Ndiyo, tuna watoto watatu; wote ni wavulana. Na

wewe bwana, umeshaoa? IBRAHIM: Ndiyo nimeoa, lakini mimi na mke wangu tumeten-

gana. MARIAMU: Pole bwana. IBRAHIM: Asante. Labda tutaweza kurudiana. Mimi sitaki kutoa

talaka.